A anaplasmosis Member Joined Jan 25, 2013 Posts 58 Reaction score 6 Jan 27, 2013 #1 waungwana nataka kuchua mkopo kwa ajili ya biashara.! je ni bank gani yenye makato na masharti nafuu. msaada plz
waungwana nataka kuchua mkopo kwa ajili ya biashara.! je ni bank gani yenye makato na masharti nafuu. msaada plz
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Jan 27, 2013 #2 juzi kuna jamaa nyumba yake imepingwa bei kisa mil 7..kuna benki moja inaitwa equity nenda kacheki nao ila uwe umejipanga na siyo kukurupuka..
juzi kuna jamaa nyumba yake imepingwa bei kisa mil 7..kuna benki moja inaitwa equity nenda kacheki nao ila uwe umejipanga na siyo kukurupuka..
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Jan 27, 2013 #3 juzi kuna jamaa nyumba yake imepingwa bei kisa mil 7..kuna benki moja inaitwa equity nenda kacheki nao ila uwe umejipanga na siyo kukurupuka..
juzi kuna jamaa nyumba yake imepingwa bei kisa mil 7..kuna benki moja inaitwa equity nenda kacheki nao ila uwe umejipanga na siyo kukurupuka..
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,040 Reaction score 7,303 Jan 27, 2013 #4 Hakuna bank nafuu. Tofauti zao ni rhetorics za kuingiza wateja king tu. Kama unakopa kwa ajili ya production its ok, lakini kama unakopa kwa ajili ya consumption lazima at some point utajuta. Good luck...
Hakuna bank nafuu. Tofauti zao ni rhetorics za kuingiza wateja king tu. Kama unakopa kwa ajili ya production its ok, lakini kama unakopa kwa ajili ya consumption lazima at some point utajuta. Good luck...
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,046 Reaction score 2,453 Jan 27, 2013 #5 Kwa maoni yangu, Azania Bank ina riba na masharti nafuu kuliko benki nyingine kama wewe ni mfanyakazi
Kwa maoni yangu, Azania Bank ina riba na masharti nafuu kuliko benki nyingine kama wewe ni mfanyakazi