nataka kuchukua mkopo

nataka kuchukua mkopo

anaplasmosis

Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
58
Reaction score
6
waungwana nataka kuchua mkopo kwa ajili ya biashara.! je ni bank gani yenye makato na masharti nafuu. msaada plz
 
juzi kuna jamaa nyumba yake imepingwa bei kisa mil 7..kuna benki moja inaitwa equity nenda kacheki nao ila uwe umejipanga na siyo kukurupuka..
 
juzi kuna jamaa nyumba yake imepingwa bei kisa mil 7..kuna benki moja inaitwa equity nenda kacheki nao ila uwe umejipanga na siyo kukurupuka..
 
Hakuna bank nafuu. Tofauti zao ni rhetorics za kuingiza wateja king tu.
Kama unakopa kwa ajili ya production its ok, lakini kama unakopa kwa ajili ya consumption lazima at some point utajuta.
Good luck...
 
Kwa maoni yangu, Azania Bank ina riba na masharti nafuu kuliko benki nyingine kama wewe ni mfanyakazi
 
Back
Top Bottom