Nataka kufahamu bei za magari kwa Zanzibar

Kwa ufupi
Gari yyt ile ukishushia Zanzibar ushuru unakuwa rahisi....
Mfano ukishusha fuso znz utalipa 3m na ukiileta huku utalipa tena 5m. Lkn ukishusha hapa dar moja kwa moja unapigwa 12m.

shukran
 
Mkuu nashukuru kwa Details Japo sijajua haya makampuni yanayotengeneza magari sijui hua wanawaza nini coz Lexus na Harrier hiz new model naona ni the same Car...Au Jina ndio linatofautisha bei..

Hapo mzee ndio zinanichanganya,harrier na lexus rx muundo mmoja, ila kwa luxury car lexus rx ni nzuri kuliko hata landcruiser amazon,ndo Nakuambia kwa ushauri, kama unahitaji less price, bora agiza nje,hata ukitoa bandari zanzibar about 20 milioni. Ukipeleka dar 5 milioni, almost 25. Lakini Kama utanunua zanzibar 25-26 or more hata ikifika dar ni 30milion
So kama unahela za mgodi hutaki awaiting na usumbufu gari zanzibar bei poa ukitofaitisha na dar. Let see other comments what they saying.
 
upo sahihi Mkuu mm nilifika Zanzibar nikitaka pikipiki Vespa (mimb ya mbuzi) nikaambiwa 2.5 mpaka 3.0m kujaribu Suzuki Vitara 6m Corrola AE100 5m nikana bora hata ya hapa Dodoma hizi gari used (2ndhand) bei poa kidogo labda kwa mpya. Dodoma Vutara 2nd hand hata 4m unapata Corolla 3m kwa hiyo unaepusha kodi na usafiri toka Zenj
Lakini Zanzibar nitakuja yakhe@GHIBUU natafuta TV wide screen na Washing machine naona nitakuja tu.
Mugabe wa Bongo jaribu kuingia www.zoomtanzania.com halafu tafuta Zaznibar na aina unayotaka SUV And 4WD Cars For Sale in Zanzibar
 
Harrier ni brand ya Japan na Lexus ni brand ya USA ni majina tu kutegemea limetengenezewa wapi lakini ni gari moja.Harrier ya huo mwaka unaotaka 2004 ukishushia moja kwa moja Dar ushuru wake ni kama 14ml(nilishusha mwezi wa 6)tafuta agent mzuri ili akupe ufafanuzi zaidi ila ukinunua Zanzibar waweza Save pesa 'fulani'
 
una specifications za gari hizo?maana nikikuulizia kwa mtu kuna maswali kama hayo yatafuata.
Maana matoleo ya gari hizo yapo mengi.
Hembu nipe specifications zake kesho nikuulizie

naomba uniulizie vitz ya bei poooa kabsa ambayo imesajiliwa znz ni sh ngapi.
Kama nina 2m naweza pata gari lolote?
 
Kwa sasa bado sina Specifications..thou nataka nifaham bei kabisa kuna mitego flani ikikaa sawa nafikiria kuja znz...if gharama zitakua ni affordable kulinganisha na kuagiza nje ya nchi.

Mkuu lazima uwe na specification za gari unayoitaka.
Ukisema Prado zipimatoleo mengi na nyingine bei yake zinakaribia Vogue
 
Hapo mzee ndio zinanichanganya,harrier na lexus rx muundo mmoja, ila kwa luxury car lexus rx ni nzuri kuliko hata landcruiser amazon,ndo Nakuambia kwa ushauri, kama unahitaji less price, bora agiza nje,hata ukitoa bandari zanzibar about 20 milioni. Ukipeleka dar 5 milioni, almost 25. Lakini Kama utanunua zanzibar 25-26 or more hata ikifika dar ni 30milion
So kama unahela za mgodi hutaki awaiting na usumbufu gari zanzibar bei poa ukitofaitisha na dar. Let see other comments what they saying.

Nashukuru mkuu kwa uchambuz mzuri...Nadhan ngoja nicheki hiyo web..nijue gharama za kuagiza kutoka nje zipo vipi...lakin pia nasikia ukiwa na connections na watu wa dini ukiivusha kama taasis ya dini ushuru unakua haupo inakua free bot...
Na process ya ununuzi au makabidhiano ya hela kwa nje ya nchi sijajua proces ipo secure kivipi ili mtu usijeingizwa choo cha kike...na pia ili mzigo ufike salama bongo..
 
upo sahihi Mkuu mm nilifika Zanzibar nikitaka pikipiki Vespa (mimb ya mbuzi) nikaambiwa 2.5 mpaka 3.0m kujaribu Suzuki Vitara 6m Corrola AE100 5m nikana bora hata ya hapa Dodoma hizi gari used (2ndhand) bei poa kidogo labda kwa mpya. Dodoma Vutara 2nd hand hata 4m unapata Corolla 3m kwa hiyo unaepusha kodi na usafiri toka Zenj
Lakini Zanzibar nitakuja yakhe@GHIBUU natafuta TV wide screen na Washing machine naona nitakuja tu.
Mugabe wa Bongo jaribu kuingia www.zoomtanzania.com halafu tafuta Zaznibar na aina unayotaka SUV And 4WD Cars For Sale in Zanzibar

Poaa mkuu ngoja nitacheki nione ipo vipi...
 
Harrier ni brand ya Japan na Lexus ni brand ya USA ni majina tu kutegemea limetengenezewa wapi lakini ni gari moja.Harrier ya huo mwaka unaotaka 2004 ukishushia moja kwa moja Dar ushuru wake ni kama 14ml(nilishusha mwezi wa 6)tafuta agent mzuri ili akupe ufafanuzi zaidi ila ukinunua Zanzibar waweza Save pesa 'fulani'

Kwa Uimara hapo Mjapan au Mmarekani yupi gari yake ipo Imara zaidi kiubora??
Ngoja pia ntacheki na hao Agents niwasikie watasemaje pia...
 
Nashukuru mkuu kwa uchambuz mzuri...Nadhan ngoja nicheki hiyo web..nijue gharama za kuagiza kutoka nje zipo vipi...lakin pia nasikia ukiwa na connections na watu wa dini ukiivusha kama taasis ya dini ushuru unakua haupo inakua free bot...
Na process ya ununuzi au makabidhiano ya hela kwa nje ya nchi sijajua proces ipo secure kivipi ili mtu usijeingizwa choo cha kike...na pia ili mzigo ufike salama bongo..

Lazima udeal na mtu ambae ukakae mfahamu, kutuma pesa nje sio big deal.
 
Nashukuru mkuu kwa uchambuz mzuri...Nadhan ngoja nicheki hiyo web..nijue gharama za kuagiza kutoka nje zipo vipi...lakin pia nasikia ukiwa na connections na watu wa dini ukiivusha kama taasis ya dini ushuru unakua haupo inakua free bot...
Na process ya ununuzi au makabidhiano ya hela kwa nje ya nchi sijajua proces ipo secure kivipi ili mtu usijeingizwa choo cha kike...na pia ili mzigo ufike salama bongo..

Andaa pesa ya ushuru mambo ya short cut uwa yanabuma vibaya sana,kuna jamaa aliagiza gari kwa jina la mwalimu ili apate punguzo,process ilikuwa ndefu na ujanjaujanja mwingi,shinda nyingine kama ukifanikiwa ni kama ukitaka kuliuza.Tafuta 14ml kwa ajiri ya ushuru kwa new model Harrier.
 
nahitaji pickup single cabin kwa mtu. Iwe tani moja ya nissan au toyota kwa mtu na iwe injectiona ya kuanzia mwaka 1997. Je kwa wajuzi wa hizi kitu mpaka inafika dsm niandae makadirio ya kama sh ngp? Nahitaji ya mkononi kwa mtu show room sina uwezo

Kuna Hilux D4D ,Engine 2KD ya 2001
Inaanzia 22m
 
Mie sio mtaalam sana wa mambo ya Kodi hizi.Ila nauzofu tu katika kusafirisha gari zangu nikinunua.
Mara nyingi hii inategemea na ushuru uliolipia.
Kuna ushuru tofauti kati ya Freezone ya Zanzibar na Dar.
Sasa ukiipeleka gari Dar utalipia ile Difference TRA.
Mfano Suzuki Carry hapa kwetu hadi iingie njiani kw amie hununua kwa bei isiozidi 5.4m kwenye Yard.
Lakini nilipoisafirisha Dar ilifikia hadi 7m with points.
Kuna siku jamaa alikuja kununuaCoaster huku akaona kapata bei rahisi alivyofika Bandarini akakuta Kodi kubwa kichwa kilimuuma,akaisusia hapo hapo.

Ufupi inategemea ni gari gani umenunua na gharama halisi ulizonunulia na kodi uliolipa wakati inaingia Zanzibar then ukiipeleka Dar unalipia Difference,kwa ufupi kodi za Dar ni kubwa na Zanzibar zipo Chini sana.
Maana hapa Zanzibar ukiwa mnjanja wa Yard hizi unaendesha Carry kwa 5.m na point tena saffii mpya kwa hapa used kwa Duabi,lakini Dar inakubidi ukienda Yard za Dar kwa gari hiyohiyo sio chini ya 7 - 9m.

Kwa ufupi ni kwamba inategemea Aina ya Gari,ukitaja gari gani naweza kukuulizia kwa jamaa mmoja,ila mara nyingi hawa Agents nao wanatofautiana bei kwa senti kidogo.

Watalaam wa michanganua zaidi watakuja
Vipi kama nainunua kwa mtu Zanzibar kuileta bara. Let's say malipo ni 5ml. Utaratibu wa kodi huku unaakaje?
 
Back
Top Bottom