Nataka kufahamu pesa inayoweza tumia kampuni kubwa kutangaza bidhaa zake

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Wadau Kwenye Biashara

Nahitaji kujua mambo mawili.

Suala la kwanza, hizi kampuni kubwa kama Metl, Azam, Azania, Startimes nk zinaweza Spend kihasi gani cha pesa kwenye kufanya matangazo mfano wamezalisha product mpya sokoni au Huduma fulani.

Mfano wa kampuni kama KEDS inajihusisha na kizalisha Sabuni kama Kleesoft na Doffi wanapoweka bajeti ya kufanya Marketing ya DOFFI wanaweza weka bajeti ya kihasi gani kwa Siku/mwezi/mwaka ??

Suala la pili, yale mabango ya balabalani (Billboard) gharama yake ni kihasi gani kuweka Tangazo lako siku/mwezi/mwaka ??

Wanaojua haya mambo mawili wanijuze.
 
Kiasi inategemea na ukubwa wa kampuni ndo maana watu kma azam wao bidhaa zao wanatangaza kwa kutumia tv yao au timu yao.

Pili kwa mtu ambae anaanza lazima utafute watu wenye ushawishi.
 
Kiasi inategemea na ukubwa wa kampuni ndo maana watu kma azam wao bidhaa zao wanatangaza kwa kutumia tv yao au timu yao
Pili kwa mtu ambae anaanza lzm utafute watu wenye ushawishi

Ndio maana nikasema kampuni kubwa hapo bajeti zinaweza kutenga kihasi gani.

Ukiachana na watu wenye ushawishi kuna njia kadhaa za kutangaza hizo zote zina bajeti yake ya jumla inayopangwa na department ya marketing ndio nataka kujua tathmini ya Bajeti.
 
Ndio maana nikasema kampuni kubwa hapo bajeti zinaweza kutenga kihasi gani.

Ukiachana na watu wenye ushawishi kuna njia kadhaa za kutangaza hizo zote zina bajeti yake ya jumla inayopangwa na department ya marketing ndio nataka kujua tathmini ya Bajeti
Bajet inategemea na media au msanii gani wakukupa promo ila bajet ya uhakika angalau weka milion 20 tafuta adi vipage vya udaku na msaani wa kawaida ila ukitaka msanii mkubwa wale wanakula kuanzia milion 200.
 
Hongera kwa kufikia level za juu za entrepreneurship. Hadi kuanza kutenga budget za advertisement.
 
Bajet inategemea na media au msanii gani wakukupa promo ila bajet ya uhakika angalau weka milion 20 tafuta adi vipage vya udaku na msaani wa kawaida ila ukitaka msanii mkubwa wale wanakula kuanzia milion 200.
Aisee soma mada inatakaje Mkuu.
 
...Yale mabango ya barabarani hapo awali yalikuwa yanatozwa na halmashauri ya mji/manispaa/Jiji. (Sina uhakika ikiwa tozo hizo bado zinatozwa na local Government).

Ikiwa bado zinatozwa na local Government maana yake kila Halmashauri itakuwa na kiwango chake kwa mujibu ya sheria ndogo ndogo (bylaws) zilizotungwa na madiwani wa eneo husika!.
 
Hapana haipo hivo,

Mabango ya barabarani yanamilikwa na kampuni binafsi, na hizo kampuni ndo zinalipa hizo fee, wewe utalipia huduma zao.

Bei zinatofautiana kulingana na sehem na ukubwa wa bango. Wasiliana na makampuni husika itapata taarifa sahihi

Makampuni hayo ni kama A1 outdoor, Aliance media, etc

Kuna baadhi ya mabango yao yaliyo empty wameweka mawasiliano yao.
 
Ok upo sawa nilichangayanya files hapo!

Yale mabangi si yana mmiliki ambae ndie analipwa na kampuni/mtu anayeweka Tangazo lake sasa ndio nataka kujua malipo hayo ni Tzs ngapi sio ushuru wanaotoza serikali kwa mwenye bango.
 
Hapana haipo hivo,

Mabango ya barabarani yanamilikwa na kampuni binafsi, na hizo kampuni ndo zinalipa hizo fee, wewe utalipia huduma zao.

Bei zinatofautiana kulingana na sehem na ukubwa wa bango. Wasiliana na makampuni husika itapata taarifa sahihi

Makampuni hayo ni kama A1 outdoor, Aliance media, etc

Kuna baadhi ya mabango yao yaliyo empty wameweka mawasiliano yao.
Sawa nitafuatilia hizo comp.
 
Back
Top Bottom