October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Kiasi inategemea na ukubwa wa kampuni ndo maana watu kma azam wao bidhaa zao wanatangaza kwa kutumia tv yao au timu yao
Pili kwa mtu ambae anaanza lzm utafute watu wenye ushawishi
Bajet inategemea na media au msanii gani wakukupa promo ila bajet ya uhakika angalau weka milion 20 tafuta adi vipage vya udaku na msaani wa kawaida ila ukitaka msanii mkubwa wale wanakula kuanzia milion 200.Ndio maana nikasema kampuni kubwa hapo bajeti zinaweza kutenga kihasi gani.
Ukiachana na watu wenye ushawishi kuna njia kadhaa za kutangaza hizo zote zina bajeti yake ya jumla inayopangwa na department ya marketing ndio nataka kujua tathmini ya Bajeti
Aisee soma mada inatakaje Mkuu.Bajet inategemea na media au msanii gani wakukupa promo ila bajet ya uhakika angalau weka milion 20 tafuta adi vipage vya udaku na msaani wa kawaida ila ukitaka msanii mkubwa wale wanakula kuanzia milion 200.
Elezea vizuri mkuu kwa timeline gani Siku/mwezi/mwaka/5year...2% ya expected sales.
Hapana haipo hivo,...Yale mabango ya barabarani hapo awali yalikuwa yanatozwa na halmashauri ya mji/manispaa/Jiji. (Sina uhakika ikiwa tozo hizo bado zinatozwa na local Government).
Ikiwa bado zinatozwa na local Government maana yake kila Halmashauri itakuwa na kiwango chake kwa mujibu ya sheria ndogo ndogo (bylaws) zilizotungwa na madiwani wa eneo husika!.
Hapana haipo hivo,
Mabango ya barabarani yanamilikwa na kampuni binafsi, na hizo kampuni ndo zinalipa hizo fee, wewe utalipia huduma zao.
Bei zinatofautiana kulingana na sehem na ukubwa wa bango. Wasiliana na makampuni husika itapata taarifa sahihi
Makampuni hayo ni kama A1 outdoor, Aliance media, etc
Kuna baadhi ya mabango yao yaliyo empty wameweka mawasiliano yao.
...Yale mabango ya barabarani hapo awali yalikuwa yanatozwa na halmashauri ya mji/manispaa/Jiji. (Sina uhakika ikiwa tozo hizo bado zinatozwa na local Government).
Ikiwa bado zinatozwa na local Government maana yake kila Halmashauri itakuwa na kiwango chake kwa mujibu ya sheria ndogo ndogo (bylaws) zilizotungwa na madiwani wa eneo husika!.
Sawa nitafuatilia hizo comp.Hapana haipo hivo,