Nataka kufahamu utaratibu wa kupata Temporary Permit ya kuingia Kenya

Muddy123

Member
Joined
Nov 6, 2022
Posts
25
Reaction score
16
Ndugu zangu Nipo Dar es Salaam,

Nataka kufahamu utaratibu wa upatikanaji wa Kibali cha Muda cha kuingia Kenya najua njia za shortcut zipo ila mimI sitaki hizo nataka kufahamu utaratibu wakupata official temporally Permit ya kuingia Kenya.

Ofisi ziko wapi na kuna malipo au la, na nahitqjika kuwa na vitu gani ili nipate hiyo Permit
 
Ndugu zangu Nipo Dar es salaam , nataka kufaham utaratibu waupatikanaji wa Kipali cha Muda chakuingia Kenya najuq njia za shortcut zipo ila mim sitaki izo nataka kufaham utaratibu wakupata official temporally Permit yakuingia Kenya....ofisi ziko WAP na Luna malipo au laa na nahitqjika kuwa na vitu gani ili nipate hiyo Permit
Hueleweki unahitaji permit au pasport??
 
Ndugu zangu Nipo Dar es salaam , nataka kufaham utaratibu waupatikanaji wa Kipali cha Muda chakuingia Kenya najuq njia za shortcut zipo ila mim sitaki izo nataka kufaham utaratibu wakupata official temporally Permit yakuingia Kenya....ofisi ziko WAP na Luna malipo au laa na nahitqjika kuwa na vitu gani ili nipate hiyo Permit
Permit au passport inatolewa na Kenya au Tz lakini wabongo bado tuko washamba hatuna exposure kabisa, utakuta huyu nayeye ni mtu mzima hapa JF anakejeli watu kila siku
 
Nenda ofisi za uhamiaji zilizo karibu nawe utapata msaada
 
Permit au passport inatolewa na Kenya au Tz lakini wabongo bado tuko washamba hatuna exposure kabisa, utakuta huyu nayeye ni mtu mzima hapa jf anakejeli watu kila siku
Khaaaa!!! Bro umejibu mini mejitqid an kurudia coment yko lkn sijaelewa umejibubkitu gan km vile umezua mjadala mpya tofaut na shida iliyoulizwa
 
Hueleweki unshutaji permit au pasport?
Siwezi kueleweka kwasababu haya mambo ni mageni kwangu kwahiyo nifafanulie wewe nifahamu kama in passport nijue au km ni Permit nijue.. mimi nilisikia Kuna kibari cha mda mfupi sasa cjui ndio passport au mini ndiomana nimekuja hapa kuupata muongozo nasio kejeli wala malumbano
 
Ndugu zangu Nipo Dar es Salaam,

Nataka kufahamu utaratibu wa upatikanaji wa Kibali cha Muda cha kuingia Kenya najua njia za shortcut zipo ila mimI sitaki izo nataka kufahamu utaratibu wakupata official temporally Permit ya kuingia Kenya.

Ofisi ziko wapi na kuna malipo au la, na nahitqjika kuwa na vitu gani ili nipate hiyo Permit
Kwanza, Kenya huhitaji kibali. Kama ni kibali basi ingelikuwa ni VISA au resident permit.

Unachopaswa kupata wewe ni hati ya kusafiria (passport). Kwa kuwa ni ya ghafla basi inakubidi upate hati ya muda mfupi (temporary). Mathalani huwa ni miezi mitatu.

Fika katika ofisi ya Uhamiaji katika eneo lako ukiwa na taarifa zako sahihi na picha ndogo ya passport ya hivi karibuni na Tsh 20,000 (sijui kama imebadilika ama la). Watakuhoji, kisha wakiridhika watakupatia control number kwa ajili ya kulipia.

Baada ya hapo, watakugongea muhuri na utaendelea na harakati zako. Kumbuka, utapaswa kuchanja chanjo ya homa ya manjano kabla ya kuruhusiwa kuvuka mpaka. Utaenda hospital ya karibu haswa za Wilaya na Mkoa, utachoma chanjo husika na kukukabidhi cheti.

Kila la kheri.
 
Unapitia njia/mpaka upi?
Kama Namanga;
1. Hakikisha una kitambulisho cha taifa au namba zake.

Nende Longido kwa ofisi ya mkuu wa Wilaya ni zoezi la saa moja tu unapatiwa
 
20k hiyo ya Serikali kumi ya kishoka 20 ya Maafsaa, chap chap.
Siku hizi haina haja mkuu pamenyooka tu.

Hivi karibuni nilipata dharura na nimeacha paspoti kubwa mkoa tofauti.
Nilipewa hiyo permit ndani ya saa moja hakuna isumbufu, rushwa wqla kishoka.

Pale Longido hakuna foleni kabisa
 
Kama ni hivyo jina la Mama lihimidiwe.

Lakini hapa Temeke sio kama Longido lazima utoe Mpunga.
 
Permit au passport inatolewa na Kenya au Tz lakini wabongo bado tuko washamba hatuna exposure kabisa, utakuta huyu nayeye ni mtu mzima hapa jf anakejeli watu kila siku
Huyu utakuta kaisoma ilani imekaa kichwani Ila haelewi passport inapatikanaje
 
Kwanza, Kenya huhitaji kibali. Kama ni kibali basi ingelikuwa ni VISA au resident permit.

Unachopaswa kupata wewe ni hati ya kusafiria (passport). Kwa kuwa ni ya ghafla basi inakubidi upate hati ya muda mfupi (temporary). Mathalani huwa ni miezi mitatu.

Fika katika ofisi ya Uhamiaji katika eneo lako ukiwa na taarifa zako sahihi na picha ndogo ya passport ya hivi karibuni na Tsh 20,000 (sijui kama imebadilika ama la). Watakuhoji, kisha wakiridhika watakupatia control number kwa ajili ya kulipia.

Baada ya hapo, watakugongea muhuri na utaendelea na harakati zako. Kumbuka, utapaswa kuchanja chanjo ya homa ya manjano kabla ya kuruhusiwa kuvuka mpaka. Utaenda hospital ya karibu haswa za Wilaya na Mkoa, utachoma chanjo husika na kukukabidhi cheti.

Kila la kheri.
Correction ni miezi 6 unapata pale uhamiaji ukiwa na documents zote siku hyo hyo unapata unapewa karatasi kama huna passport
 
Back
Top Bottom