M mafian Member Joined Nov 15, 2011 Posts 45 Reaction score 5 Apr 25, 2012 #1 Wadau kuna mtu ashawahi import gari au kitu na hawa jamaa maana kama nna mashaka nao sana...Ni kampuni ya ukweli?
Wadau kuna mtu ashawahi import gari au kitu na hawa jamaa maana kama nna mashaka nao sana...Ni kampuni ya ukweli?
M marinjerinje Member Joined Dec 3, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Jun 8, 2015 #2 Waliniagizia gari fuso kwa bei mzuri wanachagua magiri mazuri wanamtu wao yuko Japan anachagua magari mazuri sana,Niliwaunganisha na jamaa yangu gari baada ya kufika likaibiwa redio bandarini sikujua mwisho ulikuaje ila wako vizuri.
Waliniagizia gari fuso kwa bei mzuri wanachagua magiri mazuri wanamtu wao yuko Japan anachagua magari mazuri sana,Niliwaunganisha na jamaa yangu gari baada ya kufika likaibiwa redio bandarini sikujua mwisho ulikuaje ila wako vizuri.
matege2 Senior Member Joined May 7, 2015 Posts 115 Reaction score 52 Jun 8, 2015 #3 mabasi yao baadhi ni mabovuuuu
Kakondele JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 238 Reaction score 214 Jun 8, 2015 #4 mafian said: Wadau kuna mtu ashawahi import gari au kitu na hawa jamaa maana kama nna mashaka nao sana...Ni kampuni ya ukweli? Click to expand... kama ni mabasi au gari bora ulipitishie bandari ya Mombasa tu huko hakuna uzungushwaji wala ubabaishaji
mafian said: Wadau kuna mtu ashawahi import gari au kitu na hawa jamaa maana kama nna mashaka nao sana...Ni kampuni ya ukweli? Click to expand... kama ni mabasi au gari bora ulipitishie bandari ya Mombasa tu huko hakuna uzungushwaji wala ubabaishaji