Nataka Kufanya Biashara Na Jordan Express Company

Nataka Kufanya Biashara Na Jordan Express Company

mafian

Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
45
Reaction score
5
Wadau kuna mtu ashawahi import gari au kitu na hawa jamaa maana kama nna mashaka nao sana...Ni kampuni ya ukweli?
 
Waliniagizia gari fuso kwa bei mzuri wanachagua magiri mazuri wanamtu wao yuko Japan anachagua magari mazuri sana,Niliwaunganisha na jamaa yangu gari baada ya kufika likaibiwa redio bandarini sikujua mwisho ulikuaje ila wako vizuri.
 
Wadau kuna mtu ashawahi import gari au kitu na hawa jamaa maana kama nna mashaka nao sana...Ni kampuni ya ukweli?

kama ni mabasi au gari bora ulipitishie bandari ya Mombasa tu huko hakuna uzungushwaji wala ubabaishaji
 
Back
Top Bottom