ALL IN ONE
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 262
- 176
Nashukuru Kwa Msaada Wako Naomba Msaada Hapo Kwenye Bold Mkuunenda mikoa mipya mkuu, huko kwingine wammejaa tele.
E bwana kwa Iringa mjini hiyo hela ni ya kodi tu coz kwa populated area kama Miyomboni,uhindini na mshindo frame zinarange from laki 2 to 4 laki na itakubidi ulipie tena kwa miezi sita au mwaka mzima tena ukutane na kitu kinachoitwa kilemba bado hiyo hela haitoshi kabisa
Nashukuru Kwa Msaada Wako Naomba Msaada Hapo Kwenye Bold Mkuu