Nataka kufanya biashara na wakazi wa Mbeya, Iringa, Dodoma, Njombe na Songea

Nataka kufanya biashara na wakazi wa Mbeya, Iringa, Dodoma, Njombe na Songea

ALL IN ONE

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
262
Reaction score
176
Kama kichwa kinavyosema, Napenda kufanya biashara katika mikoa tajwa hapo juu!

Je, ninaweza kupata fremu ya biashara ambayo kidogo itakuwa ipo jiran na movement ya watu target population. Lengo ni kufungua biashara itayohusisha kuuza vifaa vya simu & computer pamoja na computer maintanance and repair. Mtaji ni million tatu!

Ushauri wako ili nisije kujutia biashara hii nifanye kama Mbeya, Iringa, Songea Njombe, Dodoma Au Dar!

NB: Hii kitu ni serious, kwahiyo naomba msaada wenu, majungu kando!
 
Ushauri wangu ni ww jaribu kufanya survey uone demand ya bidhaq unayotaka kuuza na market yake.

Angalia zaidi maeneo yenye population kubwa hasa wanafunzi wa vyuo
 
thanks BIGURUBE ila lengo langu pia nikupata feedback kwa wazawa wa mikoa husika ?
 
Last edited by a moderator:
ntashukuru kama mtanipa na nini cha kufanya pia kama mtakuwa mmependekeza mkoa
 
E bwana kwa Iringa mjini hiyo hela ni ya kodi tu coz kwa populated area kama Miyomboni,uhindini na mshindo frame zinarange from laki 2 to 4 laki na itakubidi ulipie tena kwa miezi sita au mwaka mzima tena ukutane na kitu kinachoitwa kilemba bado hiyo hela haitoshi kabisa
 
ALL IN ONE

Nenda mikoa mipya mkuu, huko kwingine wammejaa tele.
 
Last edited by a moderator:
E bwana kwa Iringa mjini hiyo hela ni ya kodi tu coz kwa populated area kama Miyomboni,uhindini na mshindo frame zinarange from laki 2 to 4 laki na itakubidi ulipie tena kwa miezi sita au mwaka mzima tena ukutane na kitu kinachoitwa kilemba bado hiyo hela haitoshi kabisa

Nashukuru Nafuta Iringa
 
thanks Rene jr ntafatwa ushaur wako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom