mashimbah samwel
Member
- Feb 18, 2018
- 7
- 1
Wakuu habarin za jioni..naombeni ushaur na maelekezo ya kitaalam coz naamin wataalam wapo humu...inshu ni hvi nataka nifanye biashara ya kupiga muziki kweny matukio kama sherehe madisco n.k sasa nina baadhi ya vifaa kama spika 2 za mid double double..nina spika moja ya bass single pia nina power mixer moja. Sasa kuna mtu kanambia bado mziki haujakamilika hapo akanitajia baadh ya vitu lkn ckuvielewa vizuri..naomba kama kuna mtaalam humu anisaidie kunipa maelekezo na pia bei ya vifaa hvo kama itawezekana..nb pc na generator vipo.....nipo mwanza