Habari wana JF nataka kuanza biashara tajwa hapo juu. Yeyote mwenye uzoefu na biashara hiyo naomba anijuze gharama zake ziko vipi na kodi za watu wa misitu ziko vipi, Na kama ni biashara yenye faida nzuri. Nina mtaji wa Tsh 2,000,000 Milioni mbili tu. Asanteni.