Nataka kufanya Biashara ya kuuza mkaa jumla na rejarej

Nataka kufanya Biashara ya kuuza mkaa jumla na rejarej

shuky01

Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
15
Reaction score
4
Habari wana JF nataka kuanza biashara tajwa hapo juu. Yeyote mwenye uzoefu na biashara hiyo naomba anijuze gharama zake ziko vipi na kodi za watu wa misitu ziko vipi, Na kama ni biashara yenye faida nzuri. Nina mtaji wa Tsh 2,000,000 Milioni mbili tu. Asanteni.
 
Back
Top Bottom