Habari,
Wapendwa naomba msaada nataka nifanye biashara ya kuuza Sendoz za kimasai nitoe Dodoma nkafungue duka Mkoa mwingine ambako ni adimu kupatikana.
Sasa naomba kujua nitapata wapi nchukue kwa bei ya jumla, maana wakati nasoma nilikuwa nawaona wamasai pale Dom wanauza kwa rejareja.
Ombi: Tafadhali mwenye uelewa na upatikanaji wa hii bidhaa anisaidie.