Nataka kufanya biashara ya kuuza Sendoz za Kimasai

akinyi111

Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
22
Reaction score
2
Habari,

Wapendwa naomba msaada nataka nifanye biashara ya kuuza Sendoz za kimasai nitoe Dodoma nkafungue duka Mkoa mwingine ambako ni adimu kupatikana.

Sasa naomba kujua nitapata wapi nchukue kwa bei ya jumla, maana wakati nasoma nilikuwa nawaona wamasai pale Dom wanauza kwa rejareja.

Ombi: Tafadhali mwenye uelewa na upatikanaji wa hii bidhaa anisaidie.

Me nauza jumla na rejareja napatikana DSM...nazitoa Nairobi.....hizo za wamasai wa Kibongo achana nazo zitakusumbu na hata uweze kufilisika....za Nairobi zina soko kubwa sana....Nina uzoefu na hii biashara miaka mitano
 
Jumla unauza bei gani? nakuanzis ngapi?
 
Wasiliana na member mmoja huku ambae anaitwa Masai dada mkuu
 
dar zipo nyingi sana
maduka ya culture yapo mengi sana

ila nyingi ni feki kama atakuwa na org kabisa
labda awauzie wene maduka ya culture mengine yapo mwenge na k.kooo
sema hawa jamaa wanaendaga kufungasha wenyewe lakini kama utakua na product nzuri soko utalipata

kila la heri
 
Mimi sijui ndio sielewi..........
sendoz mnazosemea ni hizi........

image.jpg
 
dar zipo nyingi sana
maduka ya culture yapo mengi sana

ila nyingi ni feki kama atakuwa na org kabisa
labda awauzie wene maduka ya culture mengine yapo mwenge na k.kooo
sema hawa jamaa wanaendaga kufungasha wenyewe lakini kama utakua na product nzuri soko utalipata

kila la heri

Wale kaka zako huwa naona wanapita huku Dar mitaani wamevalia rubega wakiwa wanauza hizo sendoz,sasa wewe Masai dada si umsaidie kumuunganisha na hao kaka zako jamani???
 
kila mzanaki ni ndugu yake nyerere???
 
Habari,

Wapendwa naomba msaada nataka nifanye biashara ya kuuza Sendoz za kimasai nitoe Dodoma nkafungue duka Mkoa mwingine ambako ni adimu kupatikana.

Sasa naomba kujua nitapata wapi nchukue kwa bei ya jumla, maana wakati nasoma nilikuwa nawaona wamasai pale Dom wanauza kwa rejareja.

Ombi: Tafadhali mwenye uelewa na upatikanaji wa hii bidhaa anisaidie.

Nauza pia navitoa naii,jumla 13,000 ni imara sana
 
Habari,

Wapendwa naomba msaada nataka nifanye biashara ya kuuza Sendoz za kimasai nitoe Dodoma nkafungue duka Mkoa mwingine ambako ni adimu kupatikana.

Sasa naomba kujua nitapata wapi nchukue kwa bei ya jumla, maana wakati nasoma nilikuwa nawaona wamasai pale Dom wanauza kwa rejareja.

Ombi: Tafadhali mwenye uelewa na upatikanaji wa hii bidhaa anisaidie.

nipe namba nikutumie sample tufanye busines 0784166139 sms onlly kiziwi
 
Back
Top Bottom