Jumla unauza bei gani? nakuanzis ngapi?Me nauza jumla na rejareja napatikana DSM...nazitoa Nairobi.....hizo za wamasai wa Kibongo achana nazo zitakusumbu na hata uweze kufilisika....za Nairobi zina soko kubwa sana....Nina uzoefu na hii biashara miaka mitano
Wasiliana na member mmoja huku ambae anaitwa Masai dada mkuu
dar zipo nyingi sana
maduka ya culture yapo mengi sana
ila nyingi ni feki kama atakuwa na org kabisa
labda awauzie wene maduka ya culture mengine yapo mwenge na k.kooo
sema hawa jamaa wanaendaga kufungasha wenyewe lakini kama utakua na product nzuri soko utalipata
kila la heri
Wale kaka zako huwa naona wanapita huku Dar mitaani wamevalia rubega wakiwa wanauza hizo sendoz,sasa wewe Masai dada si umsaidie kumuunganisha na hao kaka zako jamani???
Jumla unauza bei gani? nakuanzis ngapi?
Habari,
Wapendwa naomba msaada nataka nifanye biashara ya kuuza Sendoz za kimasai nitoe Dodoma nkafungue duka Mkoa mwingine ambako ni adimu kupatikana.
Sasa naomba kujua nitapata wapi nchukue kwa bei ya jumla, maana wakati nasoma nilikuwa nawaona wamasai pale Dom wanauza kwa rejareja.
Ombi: Tafadhali mwenye uelewa na upatikanaji wa hii bidhaa anisaidie.