PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 863
- 149
Nina mtaji wa 400,000 Nipo Mwanza. Designate Savaiva
Hivi kwa nini mnapenda kumtamka Rais wa nchi kwa lugha mbaya mbaya?Kanunue Viatu Weka.
Kalipie Leseni Manispaa. TRA Wakikusumbua Nunua Kitambulisho Cha Kibwengo Magu
Hakuna Jipya.
Mkaruka shukrani sana mkuu kwa maelezo mazuri. Pakuvinunua ndiyo sijapata maelekezo. Kwani robota linauzwaje? Na ni wapi pa kuvinunulia.
Nilikuwa Mwanza wiki iliyopita nimenunua viatu vya mtumba vya kuvalia suti bei rahisi sana. Wanasema wanatoa mitumba Uganda. Jaribu kuangalia wale machinga wanaopanga viatu Nyerer Road pale Mwanza wanaweza kukupa mwanga
Mie wala saingalii hizo namba mie nachojali kuwa kiatu ni pure leather na kinanitosha na kunipendeza hata nchi kilipotengenezwa mie uwa sizingatiiBei gani Boss share na wanajukwaa wengine
Maana wanasema ukiona umeula sana jua umeliwa sana
Size yake haijaanza na 255/265/270?
Kama kina hizo Namba kwa chini jua umeumia pakubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ww uko mwanza ila hujui wapi pa kuanzia🤗🤔Nina mtaji wa 400,000 Nipo Mwanza. Designate Savaiva