PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 863
- 149
Habari wadau?
Naomba kupata ushauri na uzoefu kutoka kwenu.
Ningependa kujua jinsi ya kuanzisha BIASHARA ya viatu vya mtumba (vya kike na vya kiume), mahala napoweza kupata viatu hivyo (kwa bei ya jumla), gharama ya kununulia na kuuzia, na faida pia.
Pia ningependa kujua vibali navyotakiwa kuwa navyo ili niendeshe biashara hii kwa Uhalali.
Mwisho kama kuna mbinu za kibiashara mnijuze.
Nawashukuru kwa muda wenu na natarajia msaada toka kwenu.