Nataka kufanya biashara ya maua haya ya bandia, una nini cha kunishauri?

Nataka kufanya biashara ya maua haya ya bandia, una nini cha kunishauri?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
5FEF40E3-8AE7-4E30-BC0A-8294F74AC399.jpeg

Nimeangalia Maua yana bei sana. Nimeshindwa kujua kwanini?

Natamani kuuza maua kwa bei rahis lakini siijui hii biashara?

Nahitaji ushauri

1. Biashara ikoje?

2. Kuagiza nje na kununua jumla hapa bongo ipi bora?

3. Wateja ni kina nani hasa?

4. Faida yake
 
Sasa unataka kufanya biashara ambayo hata huijui mkuuu

kaichunguze kwanza upate maarifa ya kutosha artifical flowers inaingia kwene interior decorations so jitahidi ujue maua na vase zake na decoration zengine

all the best
 
Artificial flowers ni za msimu kama utafocus kwenye artificial basi uza vases na decor tofauti tofauti.

Natural flowers Hazina msimu.

Ukitaka kufocus na artificial flowers nenda Agrey street Kariakoo.

Binafsi i spent a bit on artificial flowers December last year na mpaka Leo naingia June sitarajii kununua maua mpaka December tena.
 
Artificial flowers ni za msimu kama utafocus kwenye artificial basi uza vases na decor tofauti tofauti.
Natural flowers Hazina msimu.
Ukitaka kufocus na artificial flowers nenda Agrey street kkoo.
Binafsi i spent a bit on artificial flowers December last year na mpaka Leo naingia June sitarajii kununua maua mpaka December tena.
Vases ndo nn mkuu
 
Aaah mi nataka wanaouza maua ya plastic
Namanga ndio sehemu yenye wapambaji, wakodishaji na wauza decorations wazoefu kuliko eneo lolote Tanzania na hawapo humu JF. Mimi sio mjinga kukuelekeza uko.

Kama umekaa kwenye kiti unasubiri ushauri wa mtandaoni ndio uchukue ufanyie biashara its fine ni hela yako.
 
Back
Top Bottom