Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Sasa unaomba ushauri halafu unaupinga. It means una majibu yako tayari.heeeeh we yanikaukie
maua halisi yanakauka
yanapata vimelea
gharama za utunzaji
gharama za uhifadhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unaomba ushauri halafu unaupinga. It means una majibu yako tayari.heeeeh we yanikaukie
maua halisi yanakauka
yanapata vimelea
gharama za utunzaji
gharama za uhifadhi
ushauri niliomba ni wa maua ya artificialSasa unaomba ushauri halafu unaupinga. It means una majibu yako tayari.
inaMfano hiyo Orchid Flower uliloambatanisha hapo Hilo plastic chini sio vase and it's obvious mtu akinunua maua LAZIMA atanunua na vase unless anayotayari.
Artificial flowers ni za msimu kama utafocus kwenye artificial basi uza vases na decor tofauti tofauti...
Sasa mkuu biashara ya maua na hujui nini maana ya vases unachezea watu akili humu eeh..jana umesema misuli inakuuma..mwehu weweVases ndo nn mkuu
😂😂😂sasa kuumwa na biashara wap na wapSasa mkuu biashara ya maua na hujui nini maana ya vases unachezea watu akili humu eeh..jana umesema misuli inakuuma..mwehu wewe
samahani kaka😀😀😀nisamehe kwa kutoelewa mapemaNamanga ndio sehemu yenye wapambaji, wakodishaji na wauza decorations wazoefu kuliko eneo lolote Tanzania na hawapo humu JF. Mimi sio mjinga kukuelekeza uko.
Kama umekaa kwenye kiti unasubiri ushauri wa mtandaoni ndio uchukue ufanyie biashara its fine ni hela yako.
nitumie nione nianze kununua kwakoMm nafanya Art ya hz vases natumia uzi na kamba za katani pia nilikuwa natafuta sana wanapouza hyo maua ya plastiki
maua ya plastic aende kariakooo bhana kule mtaa wa El shadai maduka ya wachina yapo tele wanauza hayo maua na veses zake kwa bei rafikiNamanga ndio sehemu yenye wapambaji, wakodishaji na wauza decorations wazoefu kuliko eneo lolote Tanzania na hawapo humu JF. Mimi sio mjinga kukuelekeza uko.
Kama umekaa kwenye kiti unasubiri ushauri wa mtandaoni ndio uchukue ufanyie biashara its fine ni hela yako.
Siku hizi ni nadra sana kukuta maua au picha ya kuchora ndani ya nyumba, Bongo muvi ni ushahidi tosha, unadhifu wa sebule zetu umetoweka.Miaka ya nyuma nyumba zilipambwa kwa dizaini ya haya maua, kwa sasa sijajua. Ngoja wajuvi waje, kila la kheri.
Kariakoo sio sehemu ya kuulizia watumiaji, ni sehemu ya kuulizia bei na upatikanaji. Hata Namanga wananunua Kariakoo. Namanga ndio watumiaji na ndio wanajua maua gani kwa wakati gani yanauzika. Wapambaji kibao na wakodishaji wa vifaa vya decors wako pale na wanajua trends za soko. So akienda Kariakoo anaulizia maua yapi na ya nini.maua ya plastic aende kariakooo bhana kule mtaa wa El shadai maduka ya wachina yapo tele wanauza hayo maua na veses zake kwa bei rafiki
kule kuna maua hadi ya 3k ambayo decors wa sinza wanauza 10k -15k
kikubwa ye afanye reseach kwanza
namanga ya sasa si kama ya zamani atakutana na wapigaji wampige asiamini 😂😂😂
naongea nikiwa namanga
lakini uoni kama muuzaji ndo anajua exactly kipi kinatoka sana kwa wakati fulani kipi hakitoki na wafanya boashara wengi masha’allah sio wachoyo wanakuambia lakini pia aingie mwenyewe kudig in asisubirie kuambiwa afanye upembuzi yakinifu based on eneo analotaka kuweka hiyo biashara yakeKariakoo sio sehemu ya kuulizia watumiaji, ni sehemu ya kuulizia bei na upatikanaji. Hata Namanga wananunua Kariakoo. Namanga ndio watumiaji na ndio wanajua maua gani kwa wakati gani yanauzika. Wapambaji kibao na wakodishaji wa vifaa vya decors wako pale na wanajua trends za soko. So akienda Kariakoo anaulizia maua yapi na ya nini.
Ni sawa mtu anataka kununua Kirikuu au pikipiki la guta unamwambia aende kuulizia showroom wanakouza badala umuelekeze aulize vijiweni wanaonunua hivyo vitu response yao na wanavyotumia.
una weza kutengeneza tray ndogo kwa kutumia hizo katani zako ngoja nikupe mfano wa hzo tray ninazotakaMm nafanya Art ya hz vases natumia uzi na kamba za katani pia nilikuwa natafuta sana wanapouza hyo maua ya plastiki
Si ndio umeambiwa achana nayoushauri niliomba ni wa maua ya artificial
elewa mada mkuu
mkuu mbona mkali😂😂Si ndio umeambiwa achana nayo
mtu kashapata tenda hapa hapauna weza kutengeneza tray ndogo kwa kutumia hizo katani zako ngoja nikupe mfano wa hzo tray ninazotaka
Basi nilikua sijui kumbe huwaga yanafubaaHayo feki yanawahi kufubaa na kuharibika hivo wateja watakimbia.
Hayo Sikushauri
Ndio, Mimi ni MKALI MANmkuu mbona mkali😂😂