Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
ushauri wako muhimuKama umeamua fanya mkuu!
kwako hujapamba mauaMiaka ya nyuma nyumba zilipambwa kwa dizaini ya haya maua, kwa sasa sijajua. Ngoja wajuvi waje, kila la kheri.
yana nn mkuuAcha acha acha..:sema pepo tokaa...
Hapo kwene interior decoration nimeelewaSasa unataka kufanya biashara ambayo hata huijui mkuuu
kaichunguze kwanza upate maarifa ya kutosha artifical flowers inaingia kwene interior decorations so jitahidi ujue maua na vase zake na decoration zengine
all the best
Aaah mi nataka wanaouza maua ya plasticNenda Namanga pale ukitoka Morocco kuelekea Don Bosco. Waulize wauza maua kibao pale kina Shabani wakupe hints, wao wanauza maua fresh kutoka hasa Kenya. Hayo ya plastiki wanayajua vizuri pia
heeeeh we yanikaukieNakushauri geukia maua halisi. Achana na ya bandia
Vases ndo nn mkuuArtificial flowers ni za msimu kama utafocus kwenye artificial basi uza vases na decor tofauti tofauti.
Natural flowers Hazina msimu.
Ukitaka kufocus na artificial flowers nenda Agrey street kkoo.
Binafsi i spent a bit on artificial flowers December last year na mpaka Leo naingia June sitarajii kununua maua mpaka December tena.
Vases ndo nn mkuu
vina dili sanaVyungu vya maua
Eti eeehUwe muongeaji na muongo muongo sana.
Ila uwe mbunifu, kubwa zaidi ujue kucheza na hisia za wadada.
Namanga ndio sehemu yenye wapambaji, wakodishaji na wauza decorations wazoefu kuliko eneo lolote Tanzania na hawapo humu JF. Mimi sio mjinga kukuelekeza uko.Aaah mi nataka wanaouza maua ya plastic