miss naire
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 237
- 228
Nenda pale darling ranging tatu inategemea Na rasta unayotaka bei tofauti kama unataka katoni myingi kama katoni moja au mbili nenda kkoo nyuma ya msikiti wa mtoro kunawakala pale kama ni kiwandani unapata Na usafiriUkipata jibu sahihi,naomba unitag!
habari wa ndugu, naomba kufahamu anaye elewa utaratibu wa kuchukua mzigo wa rasta kwa bei ya jumla kutoka kiwandani anieleweshe na bei inakuwaje nataka kuanza biashara hii kuchukua mzigo mkubwa nije kuuza
bado nipo mkoani, ndo tatizo nahitaji kutafuta muda niije dar mwenyewevipi ulifanikiwa??
Vipi ulifanikiwa kuja na kuanza hio biashara?bado nipo mkoani, ndo tatizo nahitaji kutafuta muda niije dar mwenyewe
Watu mpo serious miaka sita sasa bado mnahojiVipi ulifanikiwa kuja na kuanza hio biashara?