Nataka kufanya biashara ya simu, ushauri tafadhali

Nataka kufanya biashara ya simu, ushauri tafadhali

J. Mushuku

Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
17
Reaction score
4
Wanajukwaa nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya simu used (smartphones). Nina mtaji mdogo milioni mbili, naomba wenye uzoefu na biashara hii wanipe ushauri juu ya upatikanaji wa hizo bidhaa, pia juu ya changamoto mbalimbali za hii biashara.

Naomba mawazo yenu
 
Baishaara ya simu kutoka wapi?na kuziuza wapi?fafanua?mi ni mfanyabiashara wa hzo simu
 
Baishaara ya simu kutoka wapi?na kuziuza wapi?fafanua?mi ni mfanyabiashara wa hzo simu
Nataka kuziuza hapa dsm. Tatizo ni source ya kuzipata, kuna mdau alinishauri south africa au nairobi, mwingine akaniambia china. Nataka kudeal na original smartphones, japo mtaji ni mdogo, nikianza na simu chache kadhaa itakuwa vizuri.
 
Kama utakuwa serious nawezakukutafutia simu nzuri used jaribu kutizama dubizzle.com hapo utakuta simu nyingi used roughly utapata idea ya bei zake,pia kumbuka pesa yetu imeshuka thamani hivyo bei utayoikuta hapo zidisha na 500 utapata Tsh,hii ni kwa hapa Dubai wawezatazama Nairobi na SA ili upate bei za huko ukiwa interested tutawasiliana...Aksante
 
Nashukuru mkuu, nitakutafuta
 
hata mbuyu ulianza kama mchicha kaka pamabana
 
Back
Top Bottom