J. Mushuku
Member
- Jun 1, 2015
- 17
- 4
Wanajukwaa nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya simu used (smartphones). Nina mtaji mdogo milioni mbili, naomba wenye uzoefu na biashara hii wanipe ushauri juu ya upatikanaji wa hizo bidhaa, pia juu ya changamoto mbalimbali za hii biashara.
Naomba mawazo yenu
Naomba mawazo yenu