J. Mushuku
Member
- Jun 1, 2015
- 17
- 4
Nataka kuziuza hapa dsm. Tatizo ni source ya kuzipata, kuna mdau alinishauri south africa au nairobi, mwingine akaniambia china. Nataka kudeal na original smartphones, japo mtaji ni mdogo, nikianza na simu chache kadhaa itakuwa vizuri.Baishaara ya simu kutoka wapi?na kuziuza wapi?fafanua?mi ni mfanyabiashara wa hzo simu
ukiitaji kabati nzuri ya kioo nitafute ninao tena kubwa
Nashukuru mkuu, nitakutafutaKama utakuwa serious nawezakukutafutia simu nzuri used jaribu kutizama dubizzle.com hapo utakuta simu nyingi used roughly utapata idea ya bei zake,pia kumbuka pesa yetu imeshuka thamani hivyo bei utayoikuta hapo zidisha na 500 utapata Tsh,hii ni kwa hapa Dubai wawezatazama Nairobi na SA ili upate bei za huko ukiwa interested tutawasiliana...Aksante
hata mbuyu ulianza kama mchicha kaka pamabana