Wakuu nataka kufanya biashara ya tigo pesa. Hata hivyo, tigo wenyewe kwa sasa hawatoi line hizo hadi mwishoni mwa mwezi febroary. Kama kuna mtu anauza kwa sababu yo yote ikiwepo kusitisha biashara au kubadili biashara hiyo naomba anitupigie au anipm ili tuweze kuwasiliana. Namba zangu ni 0655 583 330