Fpam
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 290
- 115
Jamani nataka kujumua mawig ya wananawake China na kuyauza tanzania kuna mtu aliwahi niambia yanalipa japo saizi ni mda umepita na kibaya aliyenipa hiyo biashara nilipoteza mawasiliano nae, wakati huu nipo nchi karibu na China so kwenda huko haitanigharimu sana kwasababu nataka kwenda kwa ajili ya likizo yangu kama wiki moja hivi, sasa naombeni ushauri na zoefu mlio nao kama bado ni biashara inayolipa, aina ya mawig yanayohitajika ikiwezekana hata mtaji unao hitajika sana kwa sababu sina uzoefu. naombeni msifungwe kwa yale niliyoyataja hapa tu kama kuna lingine unaloona linafaa wewe tupia tu