wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market trend,ila i jct want to do ths...mtaalamu naomba anielekeze
10M? Nice, hiyo unweza kuizungusha mpaka itapofika msimu wa kulima mwezi wa kumi zinakuwa double-20M!
Kama unaitaji shamba lakukodi ninalo langu mkuranga bungu kila heka kwamwaka laki nanusu ila zipo eka 8 nakodisha kwamwaka kaka km upo interested ni pm
by nw am idle ndo nimetoka chuo august,so nataka ktu cha kufanya nw
kwa ninavyofahamu na marafiki zangu wa kutoka mikoani wanavyonishauri kufanya hicho hapo juu itakucost sana...cha msingi wewe nunua mazao kutoka kwa wakulima huko interior kabisa ambapo inakua cheap kwa hiyo capital yako then tafuta watu ambao utakao kuja wauzia hivyo vitu huku then fanya...i.e maharage, mchele, mpunga or whatever ila huu ni mtazamo tu..wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market trend,ila i jct want to do ths...mtaalamu naomba anielekeze
wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market trend,ila i jct want to do ths...mtaalamu naomba anielekeze
ntakutafuta bro dnt wory,halafu am a lady cyo mkaka..
samahan kwa kuingili wakubwa na ningefurah kujua hilo shamba linastawisha mazao gani kwa sana?na ni biashara gan nzuri za kupeleka mkoani mana ni vizur tukajulishana na wote tukafanikiwa
wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market trend,ila i jct want to do ths...mtaalamu naomba anielekeze
Mkuu me niko na biashara ya ng"ombe, iko vizur sana, inahtaji milion 4 tu kwakuanzia na utahtaji wik 1 hadi 2 kabla hujaanza kupata mtunda, biashara inalipa sana tu, binafsi nashindwa kuifanya kwa sababu za kimtaji! bila shaka hii itakufaa sana wakati unasubir msimu wa kilimo na utazalisha pesa zadi unazoweza kuwekeza kwenye kilimo hapo baadae!
Nakumbuka kuna thread humu alizungumzi mada inayohusu tips za kuanzisha biashara lkn k2 kimoja nilichokiweka kichwani ni TUMIA TAALUMA YK KM MTAJI.
wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market trend,ila i jct want to do ths...mtaalamu naomba anielekeze
Maeneo yenye ardhi nzuri kwa kilimo ndani ya Tanzania yetu ni Mikoa ya nyanda za juu kusini (Ruvuma,Iringa,Mbeya,Njombe na Rukwa), Hakika ni Ukanda unao kubali karibia kila Aina ya zao unalo lifaamu especially Iringa region na Ruvuma alongside Mbinga district , Mikoa hiyo kwa ujumla inaumaarufu mkubwa kama The big 5 kwa kuzalisha Mahindi yenye kutosheleza kulisha Tanzania na nchi jirani,
pia imejikita zaidi katika kuzalisha Maharagwe/ge -mbinga, Vitunguu-Iringa nk
If seriously unataka jikita kwenye kilimo i suggesting , Iringa, and Ruvuma-alongside mbinga and songea vijijini, All in all nivyema ukafanya research yakutosha before investing hasa upande wa soko vyema kutambu zao lililopo kwenye trends within and outside a country , & it's better ukapat mtaalamu ambaye anajiusisha direct na kilimo na biashara ya mazao, pia usisite kutembelea wizara husika ili upate ushauri wa wataalam, na uweze ku-implement working plans ,
pia usithubutu kuwatamkia kiasi ulicho nacho wale utakao kutana nao maana utawafanya wa-plan namna ya kukutapeli badala ya kukusaidia na mwisho ukajikuza mweupe bila kutimiza ndoto zako,,
if utahitaji more assistance on this naweza kukuunganisha with my brother /Cousin ambaye Ameanzisha kampuni ya kilimo na Amefanikiwa kupata Mashamba ya ukubwa wa kutosha yaliyopo Songea vijijini-Peramiho,, Ambaye anaweza kukusaidia kutambua procedures za kufuata na ikibidi/ikiwezekana kufanya jointventure,,,,,
All you need ni Umakini wa Hali ya juu.