nataka kufanya biashara

nataka kufanya biashara

janee

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
54
Reaction score
12
wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market trend,ila i jct want to do ths...mtaalamu naomba anielekeze
 
Kama unaitaji shamba lakukodi ninalo langu mkuranga bungu kila heka kwamwaka laki nanusu ila zipo eka 8 nakodisha kwamwaka kaka km upo interested ni pm
 
10M? Nice, hiyo unweza kuizungusha mpaka itapofika msimu wa kulima mwezi wa kumi zinakuwa double-20M!
 
by nw am idle ndo nimetoka chuo august,so nataka ktu cha kufanya nw
 
Kama unaitaji shamba lakukodi ninalo langu mkuranga bungu kila heka kwamwaka laki nanusu ila zipo eka 8 nakodisha kwamwaka kaka km upo interested ni pm

ntakutafuta bro dnt wory,halafu am a lady cyo mkaka..
 
by nw am idle ndo nimetoka chuo august,so nataka ktu cha kufanya nw

Sorry, hata mimi skujua we mdada. Inategemea na interest zako, kuna vitu vingi vya kupeleka mikoani ambavyo unaweza kupiga faida double!...ungekuwa mkaka ni rahisi zaidi mishe unafunga mwenyewe mzigo unakwea basi mkoa. Btw, kama uko serious na una uwezo wa kuchakarika (wadada wengi wanakuwa masister du) nieleze tubadlishane mawazo.
 
samahan kwa kuingili wakubwa na ningefurah kujua hilo shamba linastawisha mazao gani kwa sana?na ni biashara gan nzuri za kupeleka mkoani mana ni vizur tukajulishana na wote tukafanikiwa
 
wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market trend,ila i jct want to do ths...mtaalamu naomba anielekeze
kwa ninavyofahamu na marafiki zangu wa kutoka mikoani wanavyonishauri kufanya hicho hapo juu itakucost sana...cha msingi wewe nunua mazao kutoka kwa wakulima huko interior kabisa ambapo inakua cheap kwa hiyo capital yako then tafuta watu ambao utakao kuja wauzia hivyo vitu huku then fanya...i.e maharage, mchele, mpunga or whatever ila huu ni mtazamo tu..
 
wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market trend,ila i jct want to do ths...mtaalamu naomba anielekeze

if and only if you will not mind me pm for where to get the irrigable land and Agronomical advice
 
Kaka mazao yanao hota shamban kwangu ni miogo,maindi.mananasi,mbazi,maharage,ila mazao yakudumu ni machungwa ,miembe,minazi,malimao nandimu kwamawasiliano zaidi ni pm.
samahan kwa kuingili wakubwa na ningefurah kujua hilo shamba linastawisha mazao gani kwa sana?na ni biashara gan nzuri za kupeleka mkoani mana ni vizur tukajulishana na wote tukafanikiwa
 
unaishi wapi? ni vizuri kuanza kilimo ndani/karibu sana na eneo unaloishi
 
wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market trend,ila i jct want to do ths...mtaalamu naomba anielekeze

Mkuu me niko na biashara ya ng"ombe, iko vizur sana, inahtaji milion 4 tu kwakuanzia na utahtaji wik 1 hadi 2 kabla hujaanza kupata mtunda, biashara inalipa sana tu, binafsi nashindwa kuifanya kwa sababu za kimtaji! bila shaka hii itakufaa sana wakati unasubir msimu wa kilimo na utazalisha pesa zadi unazoweza kuwekeza kwenye kilimo hapo baadae!
 
Nakumbuka kuna thread humu alizungumzi mada inayohusu tips za kuanzisha biashara lkn k2 kimoja nilichokiweka kichwani ni TUMIA TAALUMA YK KM MTAJI.
 
Mkuu naomba unipe mchakato kuhusu hii biashara ya Ng'ombe niweze kuielewa? Kama hutajali unaweza kuni-PM
 
Nakumbuka kuna thread humu alizungumzi mada inayohusu tips za kuanzisha biashara lkn k2 kimoja nilichokiweka kichwani ni TUMIA TAALUMA YK KM MTAJI.

ni vizuri biashara yako ikiwa kwenye taaluma yako lakin co lazima na ni vibaya sana kulazimisha hili! inakupasa kila wazo ulilo nalo ulichambue na kulipa nafasi sawa ili kupata wazo moja zuri na hatimae kuanza biashara husika bila kujali we unajua nini katika biashara hiyo! ukianza kufikiria mimi mpishi lazima niwe mama/baba lishe hapo unajipa nafasi finyu ya kuchagua wazo zuri!

muhimu zaidi lazima ujue kua ili ufanikiwe ni lazima utumie watu na muda wao katika kukuzalishia mali, kwahiyo hata ukipata wazo zuri ambalo lipokwenye taaluma yako bado utahitaji watu ili ufanikiwe tena maranyingine unaweza kuhitaji watu wa taaluma kama yako ilihali we mwenyewe unatumika katika biashara hiyo kama kawaida! so chamuhimu unatakiwa uchambue mawazo uliyonayo bila kujali taaluma yako kwakua watu wenyetaaluma hizo wapo wengi unachotakiwa ni kubuni njia za kuwatumia tu!
 
Maeneo yenye ardhi nzuri kwa kilimo ndani ya Tanzania yetu ni Mikoa ya nyanda za juu kusini (Ruvuma,Iringa,Mbeya,Njombe na Rukwa), Hakika ni Ukanda unao kubali karibia kila Aina ya zao unalo lifaamu especially Iringa region na Ruvuma alongside Mbinga district , Mikoa hiyo kwa ujumla inaumaarufu mkubwa kama The big 5 kwa kuzalisha Mahindi yenye kutosheleza kulisha Tanzania na nchi jirani,
pia imejikita zaidi katika kuzalisha Maharagwe/ge -mbinga, Vitunguu-Iringa nk
If seriously unataka jikita kwenye kilimo i suggesting , Iringa, and Ruvuma-alongside mbinga and songea vijijini, All in all nivyema ukafanya research yakutosha before investing hasa upande wa soko vyema kutambu zao lililopo kwenye trends within and outside a country , & it's better ukapat mtaalamu ambaye anajiusisha direct na kilimo na biashara ya mazao, pia usisite kutembelea wizara husika ili upate ushauri wa wataalam, na uweze ku-implement working plans ,
pia usithubutu kuwatamkia kiasi ulicho nacho wale utakao kutana nao maana utawafanya wa-plan namna ya kukutapeli badala ya kukusaidia na mwisho ukajikuza mweupe bila kutimiza ndoto zako,,
if utahitaji more assistance on this naweza kukuunganisha with my brother /Cousin ambaye Ameanzisha kampuni ya kilimo na Amefanikiwa kupata Mashamba ya ukubwa wa kutosha yaliyopo Songea vijijini-Peramiho,, Ambaye anaweza kukusaidia kutambua procedures za kufuata na ikibidi/ikiwezekana kufanya jointventure,,,,,
All you need ni Umakini wa Hali ya juu.
 
wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market trend,ila i jct want to do ths...mtaalamu naomba anielekeze

Kalime vitunguu Ruaha Mbuyuni wanakodisha mashamba na nyenzo na manpower utapata huko. 3 M kwa heka 1 utapata x 2 baada ya miezi 4 au 6. Mwulize Mossad007​ mwana JF analima huko, atakupa details
 
Maeneo yenye ardhi nzuri kwa kilimo ndani ya Tanzania yetu ni Mikoa ya nyanda za juu kusini (Ruvuma,Iringa,Mbeya,Njombe na Rukwa), Hakika ni Ukanda unao kubali karibia kila Aina ya zao unalo lifaamu especially Iringa region na Ruvuma alongside Mbinga district , Mikoa hiyo kwa ujumla inaumaarufu mkubwa kama The big 5 kwa kuzalisha Mahindi yenye kutosheleza kulisha Tanzania na nchi jirani,
pia imejikita zaidi katika kuzalisha Maharagwe/ge -mbinga, Vitunguu-Iringa nk
If seriously unataka jikita kwenye kilimo i suggesting , Iringa, and Ruvuma-alongside mbinga and songea vijijini, All in all nivyema ukafanya research yakutosha before investing hasa upande wa soko vyema kutambu zao lililopo kwenye trends within and outside a country , & it's better ukapat mtaalamu ambaye anajiusisha direct na kilimo na biashara ya mazao, pia usisite kutembelea wizara husika ili upate ushauri wa wataalam, na uweze ku-implement working plans ,
pia usithubutu kuwatamkia kiasi ulicho nacho wale utakao kutana nao maana utawafanya wa-plan namna ya kukutapeli badala ya kukusaidia na mwisho ukajikuza mweupe bila kutimiza ndoto zako,,
if utahitaji more assistance on this naweza kukuunganisha with my brother /Cousin ambaye Ameanzisha kampuni ya kilimo na Amefanikiwa kupata Mashamba ya ukubwa wa kutosha yaliyopo Songea vijijini-Peramiho,, Ambaye anaweza kukusaidia kutambua procedures za kufuata na ikibidi/ikiwezekana kufanya jointventure,,,,,
All you need ni Umakini wa Hali ya juu.

thanks bro for ua assistance
 
Mkuu me niko na biashara ya ng"ombe, iko vizur sana, inahtaji milion 4 tu kwakuanzia na utahtaji wik 1 hadi 2 kabla hujaanza kupata mtunda, biashara inalipa sana tu, binafsi nashindwa kuifanya kwa sababu za kimtaji! bila shaka hii itakufaa sana wakati unasubir msimu wa kilimo na utazalisha pesa zadi unazoweza kuwekeza kwenye kilimo hapo baadae!

Hallow mdau wa ng'ombe naomba uni-PM tuongee kuhusu dili lako la ng'ombe nimependa hiyo.
 
Back
Top Bottom