Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Gharama yake huwa kuanzia Tsh... Ngapi?Nimefanya zaidi ya mara mbili,
Kuhusu madhara sifahamu.
Inaweza kugharimu kama pesa ngapi mkuu ? Tukacheki afya aseeNimefanya zaidi ya mara mbili.
Kuhusu madhara sifahamu.
Na hivi vipimo vingine mfano kujua figo zako ziko vizuri au kupima kuhusu saratani au afya ya Ini inakuaje mkuu ?Huwa sielewi maana halisi ya neno check up ya mwili mzima
Me nachojua ukipima
Damu kwa ajili ya malaria
VlR yaani magonjwa ya ngono kaswende
Full blood picture
Sukari
Pressure
Na mkojo
Ukipima hivyo naona umeshamaliza check up ya mwili mzima
Kuhusu kansa,vidonda vya tumbo na magonjwa mengine labda mpaka uende na dalili
Kwenye check up hupewi dawa sasa nini kitakudhuru?Habarini ndugu zangu.
Katika kuujali mwili wangu nataka nifanye check up ya mwili mzima kuanzia kichwani mpaka miguunii nijue maendeleo na afya ya viungo vyangu vya ndani.
Ni hospital gani naweza pata hii huduma na pia Kwa aliyefanya atupe experience hua inakuaje.
Je, kuna madhara yoyote I mean side effects zake?
Hospital gani mkuu ulienda na ni hapa Dar?Nimefanya zaidi ya mara mbili.
Kuhusu madhara sifahamu.