nique bernie
New Member
- Oct 19, 2017
- 4
- 1
Crdb charges zake zikojecrdb mkuu
Simshauri benk ya ovyocrdb mkuu
Ushauri mbovu kuliko wote kwenye historia ya JFcrdb mkuu
ndo maana nikaulza charges zake zkoje...na anayefaham better charges compared to the others...Charges utaziweza?
Charges zake zipo in terms of dollars,.. Nenda fnb wana charges nzuri!ndo maana nikaulza charges zake zkoje...na anayefaham better charges compared to the others...
We CRDB nimemtumia ndugu yangu pesa na nimeona zimetoka account yangu na zimeshafika Dar lakini walimwingizia kwenye account yake after 3 weeks? Sitaki hiyo bank. Kama huyo aliyeshauri ya KBC na nyigine ni Akiba bank.crdb mkuu
PromeKCB Bank ina account inayoitwa SIMBA SAVER ACCOUNT
Baadhi ya sifa zake (siko updated sana maana nimefunguaga zamani)
1. Unaruhusiwa kutoa mara moja kila baada ya miezi 3.
2. Haina makato ya aina yoyote (ledger fees, maintainance etc) sidhani kama kuna benki nyingine inafanya hivi Tz.
3. Wanatoa interest ya 7% kuanzia balance ya US$ 3,000 na kuendelea
4. Kwa account ya shs wanatoa interest kuanzia salio la shs 1.
5. Interest wanakuwekea kila mwezi ie (7%*balance)/12
Kwa maelezo zaidi unaweza NiPM au ukaenda tawini kwao.
Naona moderators wamefanya jambo la msingi kuifuta thread yako ya kipuuz uliyoiandika kule kwamba jf imepoteza mvuto..ushauri wa bure walk awayProme
Prome
Nini sababu ya kulimit kwamba utoe once in three month'sKCB Bank ina account inayoitwa SIMBA SAVER ACCOUNT
Baadhi ya sifa zake (siko updated sana maana nimefunguaga zamani)
1. Unaruhusiwa kutoa mara moja kila baada ya miezi 3.
2. Haina makato ya aina yoyote (ledger fees, maintainance etc) sidhani kama kuna benki nyingine inafanya hivi Tz.
3. Wanatoa interest ya 7% kuanzia balance ya US$ 3,000 na kuendelea
4. Kwa account ya shs wanatoa interest kuanzia salio la shs 1.
5. Interest wanakuwekea kila mwezi ie (7%*balance)/12
Kwa maelezo zaidi unaweza NiPM au ukaenda tawini kwao.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona moderators wamefanya jambo la msingi kuifuta thread yako ya kipuuz uliyoiandika kule kwamba jf imepoteza mvuto..ushauri wa bure walk away
Nini sababu ya kulimit kwamba utoe once in three month's
Ao jamaa sio Gud People wanaile account yao ya TANZANITE Account ambayo ndo ya dola asee yan makato yakutolea ni asilimia 1.3% ya pesa unayotoa Kwaiyo kama unatoa dola 700 makato yake ni % 1.3 yaizo dola.. Crdb sitaki ata kuwasikiacrdb mkuu
Nenda FNB bank, Haina charges yeyote.Nan anafaham bank nzur ambayo haina usumbufu kufungua dola account na charges zake ni za kawaida...