Nataka kufanya saving ya pesa zangu ambayo nitakuwa naweka kwa mfumo wa dollar

Nataka kufanya saving ya pesa zangu ambayo nitakuwa naweka kwa mfumo wa dollar

Tized ameilezea vizuri Simba account ya KCB ila sikujua kama wanayo ya USD pia.

Mie nilifungua ya USD Equity Bank kwa kuwa hawana makato ya kila mwezi wala minimum balance. Ukitoa unachajiwa $ 2 ya kiasi unachotoa hadi $ 1,000/=
 
Tatizo KUUBWA sana na labda ndio maana hatutoki tulipo ni UJUAJI. wengi wetu ni wajuaji sana.
Mtu kaomba msaada, nijajua na ninatumia hio huduma, kosa ni kumwambia hapa ili na mwingine anayehitaji ajue au kumfata PM?

Soma huu uzi niliuandika miaka minne ilipita huenda ukajifunza chochote kama UNATAKA.
Vitu mwanaume anavyotakiwa kuwa ameshavifanya akifikia miaka 30


Proverbs 23:9 ''Don't speak when a fool is listening, because he'll despise your wise words''
Mkuu Tized umepotea sana jukwaani salamu zako
 
Back
Top Bottom