Tatizo KUUBWA sana na labda ndio maana hatutoki tulipo ni UJUAJI. wengi wetu ni wajuaji sana.
Mtu kaomba msaada, nijajua na ninatumia hio huduma, kosa ni kumwambia hapa ili na mwingine anayehitaji ajue au kumfata PM?
Soma huu uzi niliuandika miaka minne ilipita huenda ukajifunza chochote kama UNATAKA.
Vitu mwanaume anavyotakiwa kuwa ameshavifanya akifikia miaka 30
Proverbs 23:9 ''Don't speak when a fool is listening, because he'll despise your wise words''