bukerebe alex
Member
- May 5, 2016
- 62
- 83
Bata wanazaliana Sana tatizo soko la kuuza hao Bata maji hakuna ,na Kama Kuna sehemu ya uhakika ya kuuza tupaane connection
weka na bei kiongozi tujitafakariKwa mahitaj ya Bata Aina mbali mbai kama bata maji, mallard, perkin jumbo, black Swedish, blue Swedish, khaki Campbell
Wanapatikana chanika kwa Singa, Dar es Salaam
Call 0746696878
View attachment 1911412
View attachment 1911413
View attachment 1911414
Kwa mahitaj ya Bata Aina mbali mbai kama bata maji, mallard, perkin jumbo, black Swedish, blue Swedish, khaki Campbell
Wanapatikana chanika kwa Singa, Dar es Salaam
Call 0746696878
View attachment 1911412
View attachment 1911413
View attachment 1911414
Nogesha Mambo Mkuu Watu Wakuunge Mkono HarakaHao bata bukin bado wapo na bei iko je?
Bata bukin mkubwa 120000 , sasa hv kuna vifaranga wa wiki tatu na wiki mbili bei 50000Hao bata bukin bado wapo na bei iko je?
Kwa mahitaj ya Bata Aina mbali mbai kama bata maji, mallard, perkin jumbo, black Swedish, blue Swedish, khaki Campbell
Wanapatikana chanika kwa Singa, Dar es Salaam
Call 0746696878
View attachment 1911412
View attachment 1911413hawa ni aina gani na unauza bei gani
Hivi Hawa sio wale Bata wa uswahilini TU hawa jamani je Wana tofauti gani na Bata wa kawaida?Bata bukin mkubwa 120000 , sasa hv kuna vifaranga wa wiki tatu na wiki mbili bei 50000
Call 0783 29 1107
View attachment 1970036
View attachment 1970037
View attachment 1970038
Tofaut na wale ulioo wazoeaHivi Hawa sio wale Bata wa uswahilini TU hawa jamani je Wana tofauti gani na Bata wa kawaida?
Chanika kituo kwa singaUnapatikana Wapi
Poa KiongoziChanika kituo kwa singa
Hao bata bukin bad
hapo niwachanganya wa Kiswahili na wakisasaHivi Hawa sio wale Bata wa uswahilini TU hawa jamani je Wana tofauti gani na Bata wa kawaida?