Funguka zaidi kiongozi.Acha kununua mbuzi kwa bibi yako.
Nenda kwenye taasisi za utafiti kule mabuki au Kondoa au tafuta wazoefu ununue mbuzi wenye tija. Wenye kuleta matokeo.
Labda kqma unataka kufuga ceremonial goat keeping.
Ili upate watoto warefu na wakubwa zaaa na msukuma mnyamwezi kwa maana wana Genes za ugiant. Sasa kununua kwa bibi yako nimkuzaa na wapare au wazaramo ukitarajia utapata mtoto kama hashim thabitFunguka zaidi kiongozi.
Asante
mbuzi 5 kuajiri mtu ni gharama, kama una mtu huko yuko kijijini na mnaendana unawaweka kwake kwanza, ili angalau waongezeke utakuwa unachangia kiasi fulani.Habari,
Kwasasa nipo mkoa X nafanya kazi pahala kwenye kampuni fulani. NAfikiria mwez wa 12 nitoe kama 500k ninunue mbuzi kama 5 huko Tabora kwa bibi yangu.
Namna ninayowaza ya kuwafuga ni kutafuta kijana wa hapo kijijini niwe namlipa 30k mwisho wa mwezi awe anawazingatia kwenye swala la machungo. Vipi hii imekaaje wazoefu?
Karibuni wanajamvi kwa ushauri na Changamoto za hapa na pale.
Natanguliza shukrani.
Wazo zuri sana mkuu!Acha kununua mbuzi kwa bibi yako.
Nenda kwenye taasisi za utafiti kule mabuki au Kondoa au tafuta wazoefu ununue mbuzi wenye tija. Wenye kuleta matokeo.
Labda kqma unataka kufuga ceremonial goat keeping.