Nimewahi kuwaona ikulu tu so far...sijui kama watu wanafuga!!
Kweli tausi walikuwa wengi sana wakati wa nyerere,mwinyi na mkapa.wamesepa wapi au kuna jini mla tausi magogoni?Muulize kikwete wale tausi wa enzi za mwinyi wa ko wapi utajua kama wanafugwa ama wanapelekwa na ndege nje ya nchi
pepo chafu linapeperusha tausi wetu!!kweli tausi walikuwa wengi sana wakati wa nyerere,mwinyi na mkapa.wamesepa wapi au kuna jini mla tausi magogoni?
sijui kama utaweza...but ukiweza tufahamishe aisee..
na mimi nataka kufuga tausi....
from story nilizosikia tausi huwa hawakai kwenye nyumba za 'malofa'
wanakimbia....lol