Nataka kufuga ndege tausi

tausi anapatikana algeria mkuu!
 
Wengi tu wanaruka, hasa wadogo. Wapo sana maeneo ya Jengo la Umoja,garden na karibu na Ocean Hospital.

Aha ha haha, basi ntakuwa natembea na manati nikipita mitaa ile ya ferry, au ntang'olewa meno bila ganzi nikipiga ndege mmoja,,,,just kidding
 
wanafika mpaka oysterbay na masaki! wako wengi sana siku hizi! ni ndege wa neema na utajiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…