CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
tausi anapatikana algeria mkuu!tausi kumpata kwa bongo ni ngumu kwa sababu hawapatikani kokote sio asili yao hapa. Tausi unaowaona mitaa ya magogoni mpaka makumbusho ya taifa tulipewa kama presidential gift nadhani from india. Hivyo ukikutwa na tausi kibongo bongo utatuhumiwa kuiba zawadi ya rais. Teeheeeheee! Lakini kama una mshiko unaweza kuagiza wanyama toka nje ya nchi kwa kufuata taratibu husika za nchi mfano dar zoo wana baadhi ya specie za nje kama nyani wa india na water buffalos.