Nataka kufuga nyuki kisasa

Nataka kufuga nyuki kisasa

Nyuki ni mradi mzuri Sana lakini uwekezaji wake unataka moyo maana kuanza ufugaji siyo kama kulima kwamba ndani ya miezi 4 au 5 nitavuna. Nooo ukitengeneza Mizinga kazi imeaanza kuijaza nyuki na hapo ndipo matarajii ya wengi hufifia.
Soko la asali likoje?
 
Soko la asali likoje?
Soko la Asali la ndani lipo lakini ni kupambana nalo ni kama masoko mengine. Kibaya hakuna sehemu kusema hapa ndipo pa kuuzima asali kama ilivyo kwa masoko ya dhahabu, lakini walau tunashukuru Mungu tunauza inaisha.
Soko la nje changamoto kubwa jirani zetu Wakenya wanafika kununua japo bei yao usipokuwa makini wananyonga, lakini nao wanachangia kuchukua mzigo wetu pia.
 
Nyuki ni mradi mzuri Sana lakini uwekezaji wake unataka moyo maana kuanza ufugaji siyo kama kulima kwamba ndani ya miezi 4 au 5 nitavuna. Nooo ukitengeneza Mizinga kazi imeaanza kuijaza nyuki na hapo ndipo matarajii ya wengi hufifia.
uko sawa mkuu niliunguza pesa yangu mapori ya skonge, nimenunua mashine nikachana mbao almost 1500 kama alivyosema mdau hapo juu, mafundi selemala wakawa wanazingua yan ukimpa posho tu humuoni mpaka umtafute, nikafanikiwa kutengeneza masanduka 153 lakini kwakweli ukiyaangalia yapo chini ya kiwango. Sasa hv ni nyumba za mabuibui
 
Soko la Asali la ndani lipo lakini ni kupambana nalo ni kama masoko mengine. Kibaya hakuna sehemu kusema hapa ndipo pa kuuzima asali kama ilivyo kwa masoko ya dhahabu, lakini walau tunashukuru Mungu tunauza inaisha.
Soko la nje changamoto kubwa jirani zetu Wakenya wanafika kununua japo bei yao usipokuwa makini wananyonga, lakini nao wanachangia kuchukua mzigo wetu pia.
Kwa sasa dumu la lita 20 bei gani dar?
 
Hongera kwa kuwa na wazo zuri, lakini naomba nikutahadharishe nimeona umeandika Mizinga 200 unawekeza na umesema mavuno Juni 2024. Hutoweza kuvuna mzinga hiyo sababu kuwa na Mizinga ni jambo moja lakini kuijaza nyuki ndiyo hatua ngumi zaidi kuliko zote.
Fanya utagiti zaidi kuhusu ufugaji nyuki na ukiweza itafute elimu ya nyuki. Vinginevyo utapata presha.

Mimi nafuga leo mwaka wa 5 sasa. Karibu kwa ushauri kwangu +255622 642620 au tembelea chuo cha Nyuki Tabora wakushauri.
Asante sana Fred...changamoto zako nimezichukua na nitaxifanyia kazi.Shambani kwangu tayari kuna mizinga ya asili na nyuki wengine wapo kwenye mapango.Aidha,kuhusu idadi ya mizinga nitaipunguza nianze na 100 mwaka wa kwanza.Pia takutafuta kwa ushauri zaidi.

Asante
 
Nimefanikiwa kulipata shamba lenye msitu kama.20 acres.Nitachana mbao kutoka shambani baada ya kukuta magogo yankutosha.Mbao zitaniwezesha kutengeneza hadi mizinga 200
Usiharibu mazingira mkuu....huo msitu wa asili ndiyo mzuri kufuga nyuki!
 
Nimeanza kuchonga mizinga na itapandishwa mwezi huu.Kwa sasa takuwa nayo kama 200 yenye vihunzi 140.na ya kawaida 60
 
Nimeanza kuchonga mizinga na itapandishwa mwezi huu.Kwa sasa takuwa nayo kama 200 yenye vihunzi 140.na ya kawaida 60
Pandisha mizinga mkuu, nyuki wanaingia kama hawana akili mwaka huu, miaka miwili iliyopita ulikuwa mtihani
 
Nimefanikiwa kulipata shamba lenye msitu kama.20 acres.Nitachana mbao kutoka shambani baada ya kukuta magogo yankutosha.Mbao zitaniwezesha kutengeneza hadi mizinga 200
Mwongo wewe,mijitu mingine bana linafikiri wote wajinga,limekaa linachati mipango kwenye simu linawaza liko shambani,wewe unavuta bange, ETI SHAMBA LA EKARI 20 LENYE MISITU ETI LITAKATA MBAO,KATA KAMA HUJANINIHIWA WAZIWAZI NA MALIASILI
 
Back
Top Bottom