Mkuu kwa nn usimpangie kiasi cha kukulipa kila siku kuliko kumbana kiasi hcho.Mojawapo ya changamoto kubwa kwenye Biashara ya Saluni ya kiume ni kujua mapato halisi yanayoingia.
Vijana wengi wanaofanya kazi Saluni sio wa kweli... .Anaweza kukwambia anapata20,000/=kwa siku kumbe anaingiza 40,000/=. Nimetafakari hvi nifunge Camera ,ambayo itaonesha wateja waliongia (kupata huduma) Naomba ushauri na Bei ya hizo Kamera nione kama inalipa!
Unataka kufunga camera ngapiMojawapo ya changamoto kubwa kwenye Biashara ya Saluni ya kiume ni kujua mapato halisi yanayoingia.
Vijana wengi wanaofanya kazi Saluni sio wa kweli... .Anaweza kukwambia anapata20,000/=kwa siku kumbe anaingiza 40,000/=. Nimetafakari hvi nifunge Camera ,ambayo itaonesha wateja waliongia (kupata huduma) Naomba ushauri na Bei ya hizo Kamera nione kama inalipa!
650,000 /= camera halafu installation fee umcharge 100,000/= jumla 750,000/= kwa kumonitor 40,000/= ya kunyoa viduku. Hii ni akili kweli?Unataka kufunga camera ngapi
Kama ni kuanzia nne kanunue full nadhani kwenye laki sita na nusu kisha nicheki nije nikufungie
650,000 /= camera halafu installation fee umcharge 100,000/= jumla 750,000/= kwa kumonitor 40,000/= ya kunyoa viduku. Hii ni akili kweli?
Kwenye camera utakuwa unaangalia mauzo au? Ushauri wangu afungue ki-mpesa/tigo pesa au aweke viatu/nguo za kiume/pafyumu kuwe kuna mtu anauza pia awe ndo overall cashier humo humo saloon. Camera si kwa vinyoz wa saloon utakufa na preshaMkuu hapa singida mjini kuna saluni ya kiume inakusanya zaidi ya 300,000 siku za week... vipi ikiqa weekends???
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kwa mganga mkuuMojawapo ya changamoto kubwa kwenye Biashara ya Saluni ya kiume ni kujua mapato halisi yanayoingia.
Vijana wengi wanaofanya kazi Saluni sio wa kweli... .Anaweza kukwambia anapata20,000/=kwa siku kumbe anaingiza 40,000/=. Nimetafakari hvi nifunge Camera ,ambayo itaonesha wateja waliongia (kupata huduma) Naomba ushauri na Bei ya hizo Kamera nione kama inalipa!
Mojawapo ya changamoto kubwa kwenye Biashara ya Saluni ya kiume ni kujua mapato halisi yanayoingia.
Vijana wengi wanaofanya kazi Saluni sio wa kweli... .Anaweza kukwambia anapata20,000/=kwa siku kumbe anaingiza 40,000/=. Nimetafakari hvi nifunge Camera ,ambayo itaonesha wateja waliongia (kupata huduma) Naomba ushauri na Bei ya hizo Kamera nione kama inalipa!
hahahahahahahKwa jinsi vinyozi walivyo mafuska, si ajabu kamera ikakuua kwa presha siku utakapomuona mkeo anabusiwa kwenye kitegauchumi chako mwenyewe πππ
300,000 kwa siku? Halafu Singida? InafikirishaMkuu hapa singida mjini kuna saluni ya kiume inakusanya zaidi ya 300,000 siku za week... vipi ikiqa weekends???
Sent using Jamii Forums mobile app
Camera 4 akipata kwa bei hyo aje nimweke awe anawafungia wateja wangu nikiwapata maana kwa bei hyo Camera, dvr, screen,HDD, Cables,Router, power supply, accessories ndogo ndogo + ufundi? Just be serious. Mimi nafunga kwa 1,160,000(kila kitu kwangu). Kama unataka kwa ajili ya shoo na kufanya saloon yako ionekane ya kisasa funga ila kama ni kwa ajili ya monitoring hyo cost ni kubwa labda sijajua type ya saloon yako na area ilipo.650,000 /= camera halafu installation fee umcharge 100,000/= jumla 750,000/= kwa kumonitor 40,000/= ya kunyoa viduku. Hii ni akili kweli?
Mi nimefanya hivi.Mojawapo ya changamoto kubwa kwenye Biashara ya Saluni ya kiume ni kujua mapato halisi yanayoingia.
Vijana wengi wanaofanya kazi Saluni sio wa kweli... .Anaweza kukwambia anapata20,000/=kwa siku kumbe anaingiza 40,000/=. Nimetafakari hvi nifunge Camera ,ambayo itaonesha wateja waliongia (kupata huduma) Naomba ushauri na Bei ya hizo Kamera nione kama inalipa!
Acha ramli chonganishikuna Uzi ulianzishwa ukitafuta soko/wateja wa hiyo Huduma ya kufungiwa hizo camera..
utafute
Saloon bora ya kiume kwa maeneo ya mjini mtaji shingap mkuuMi nimefanya hivi.
Nimeweka viti 2, mashine 3 na vinyozi 2. Kila mtu anahesabu yake ya kuwasilisha kila siku kadiri ya makubaliano yetu.
Makorombwezo mengine kmv. Super black,magic na crub ni yakwao mi siingilii.
Umeme juu yao pia
Mimi yangu ni kodi na vifaa katika ubora tuliokubaliana.
Alhamdulilah, napata si haba.
Haya makamera nimewahi kufunga ila walipogundua nawachora wakaanza kuondoka na wakija hawakai.