Nataka kufunga Kamera kwenye Saluni..ni Bei gani!

Nataka kufunga Kamera kwenye Saluni..ni Bei gani!

Mi nimefanya hivi.
Nimeweka viti 2, mashine 3 na vinyozi 2. Kila mtu anahesabu yake ya kuwasilisha kila siku kadiri ya makubaliano yetu.
Makorombwezo mengine kmv. Super black,magic na crub ni yakwao mi siingilii.
Umeme juu yao pia

Mimi yangu ni kodi na vifaa katika ubora tuliokubaliana.

Alhamdulilah, napata si haba.

Haya makamera nimewahi kufunga ila walipogundua nawachora wakaanza kuondoka na wakija hawakai.
Kama itawezekana naomba tuwasiliane mkuu.
 
Tunafunga (HD) Cctv Camera kwa bei nafuu kulingana na mahitaji yako.

  • Kuona eneo lako ukiwa mbali
  • Kutoa Alarm
  • Intruder motion detection via PIR and image verification
  • Automatic Day/Night Mode with IR Filter
Pia tunatoa Huduma za kiufundi kwa maswala yote ya ICT...

  • Computer Motherboard Repair Chip Level
  • Data Recovery
  • Networking
  • Website & Graphics Design
  • Computer Maintenance and Repair
  • Software and Hardware
  • All Printers Troubleshooting
  • Power Backup UPS & INVETERS
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi sasa bado Hujachelewa:-
Hotline +255746494637
Instagram @cytontech
 
Back
Top Bottom