Mi nimefanya hivi.
Nimeweka viti 2, mashine 3 na vinyozi 2. Kila mtu anahesabu yake ya kuwasilisha kila siku kadiri ya makubaliano yetu.
Makorombwezo mengine kmv. Super black,magic na crub ni yakwao mi siingilii.
Umeme juu yao pia
Mimi yangu ni kodi na vifaa katika ubora tuliokubaliana.
Alhamdulilah, napata si haba.
Haya makamera nimewahi kufunga ila walipogundua nawachora wakaanza kuondoka na wakija hawakai.