goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
Wewe ni wa pili kufanya hivyo,wa kwanza ni Dr.W.P.SlaaHii imekaaje wazee mwezi December nataka kufunga ndoa KKKT Mbezi Dar. Sasa watu wananishangaa kwanini sichangishi na wala siwaambii.
Mchungaji wangu ameniambia kazi yake ni kufungisha ndoa hayo ni ziada,
Hii imekaaje? Au mimi ndio wa kwanza kufanya hivi?
Samahani mkuu unamaanisha sheria ya nchi gani hapa? Au labda sheria ya ukoo wenu?Kisheria ndoa lazima iwe na sherehe.Ingawa sheria ya ndoa haijasema sherehe iwe vipi.Kwa hiyo fanyeni sherehe hata ya watu kumi tu haina tatizo.
Mm pia nafunga kimyakimya. Nafunga alfajiri napitiliza ofsin
Dada divine mzima???Ni nzuri sana hii, sherehe ni ziada cha muhimu ni kile kiapo na kuishi katika kile ulicho kiapia,
Utaepuka na mengi maana sherehe zina mengi sana
Yap mzima. Hivi sijakujibu swali ngoja niangalie Pm.Dada divine mzima???
Mi sichangiagi na sihudhurii so I guess when time comes it will be my only option
Rafiki yangu alioa mchana wa swaum,Akachukua mkewe safari,jioni baada ya iftar upande wa kikeni ukakodi mziki limradi tu washeherekee,kipindi hiko mume na mke wako mbali na eneo husika,Huwa tukiwa na best tuna joke,tulioa mchana wa ramadhani na bado watu waliwasha kigodoro,je ingekuwa siku ya kawaida ? Ktk sherehe za ndoa mengi yasiyompendeza Allah hutokea na ukizingatia ile ni ibada hakuna namna isipokuwa kutafuta jinsi ya kuziepuka.Ni wewe tu mnaenda na mashahidi wenu tarehe husika iliyopangwa Safi Kabisa.
Funga ndoa yako kwa salama wewe siyo wa kwanza.Tena utakuwa na amani hizo sherehe ni ziada tu ndugu yangu.Hii imekaaje wazee mwezi December nataka kufunga ndoa KKKT Mbezi Dar. Sasa watu wananishangaa kwanini sichangishi na wala siwaambii.
Mchungaji wangu ameniambia kazi yake ni kufungisha ndoa hayo ni ziada,
Hii imekaaje? Au mimi ndio wa kwanza kufanya hivi?
Tulifunga ndoa walikuwepo mashahidi pande zote mbili na kiongozi wa dini.mpaka leo tuna zaidi ya miaka 10.Asanteni sana kwa michango yenu, jamiiforums ni zaidi ya mitandao. Hapa ni sehemu sahihi sana