Nataka kufunga ndoa mwakani mwezi wa 12 tarehe 25

kama na wewe umo then ntajoin kama haumo bora tukutane hukuhuku mtaani, lol!
nipo mimi ndo mtunza hazina kiingilio laki moja na inanipa mimi na mwisho leo mida hii hii
 
nipo mimi ndo mtunza hazina kiingilio laki moja na inanipa mimi na mwisho leo mida hii hii
Ah nimekustukia unatafuta hela ya kumalizia weekend wewe mwanamke laaa!
 
mimi sina shida ya hela wewe kwanza laki moja hela?
Ukiona mtu anastuka hivyo na kutoa maneno kama uliyotoa ujue ni kweli alichoambiwa (according to science) Teh teh teh
 
ukiona mtu anastuka hivyo na kutoa maneno kama uliyotoa ujue ni kweli alichoambiwa (according to science) teh teh teh
hulazimishwi bwana tena tuna meeting ngoja niende
 
Bebii toka lini ukawa bachelor wewe
Ngoja niangalie maana ya bachelor kama inaendana na wewe au maana imebadilika
 
hulazimishwi bwana tena tuna meeting ngoja niende
Umenena vyema sitakiwi kulazimishwa ila kushawishiwa, sa we ndo mshika hela halafu unashindwa kunishawishi!
 
Mkuu bado tuu search inaendelea au ushapata tuanze mchakato wa michango
 
Mkuu bado tuu search inaendelea au ushapata tuanze mchakato wa michango
Mkuu bado search inaendelea si unajua wanasema mvimilivu anakula mbivu ingawa wakati mwingine anakula mbichi eeh? Ila kuna mtu nimeshampinpoint, Teh Teh Teh
 
Haya mkuu tunakuombea sana mafanikio katika safari yako. Angalia tuu usiwe so selective ukaja pata korona badala ya nazi
 
Hao wanaofunga mwez wa 11 tu hawajapanga tar sembuse wewe wa....hongera sijui we mdada/mkaka/mbaba au kibabu!
 
Hao wanaofunga mwez wa 11 tu hawajapanga tar sembuse wewe wa....hongera sijui we mdada/mkaka/mbaba au kibabu!
Plan plan plan ni jambo la maana sana MDG, Vision 2025 umesahau haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…