Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
nipo mimi ndo mtunza hazina kiingilio laki moja na inanipa mimi na mwisho leo mida hii hiikama na wewe umo then ntajoin kama haumo bora tukutane hukuhuku mtaani, lol!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipo mimi ndo mtunza hazina kiingilio laki moja na inanipa mimi na mwisho leo mida hii hiikama na wewe umo then ntajoin kama haumo bora tukutane hukuhuku mtaani, lol!
kesi kama zile mtu unazitatua kiutu uzima.kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi.miaSio niliona kesi yako hapa last week?
mimi sina shida ya hela wewe kwanza laki moja hela?ah nimekustukia unatafuta hela ya kumalizia weekend wewe mwanamke laaa!
hulazimishwi bwana tena tuna meeting ngoja niendeukiona mtu anastuka hivyo na kutoa maneno kama uliyotoa ujue ni kweli alichoambiwa (according to science) teh teh teh
<br />Duh! Hata mchuchu mwenyewe hujampata!
<br />jitahidi kujichanganya club utawapate 2 weeengi................huh