Wadau nina mpango wa kufungua studio ya mziki kurekodi audio na baadae video naomba kabla ya kuanza biasha hii mnipe ushauri ni namna gani ya kuiendesha kazi hii na vifaa vya mhimu vinavyohitajika.
Asanteni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.