Davis chelsea Member Joined Jul 28, 2011 Posts 93 Reaction score 10 Sep 18, 2014 #1 Nipo Dar maeneo ya Kimara..nataka kufungua biashara ya duka la jumla,kwa vitu vya kawaida kama unga sukar mafuta n.k.....kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ni tahadhari gani za kuchukua? kwa anayejua anawwza kunipa breakdown ya hii kitu?
Nipo Dar maeneo ya Kimara..nataka kufungua biashara ya duka la jumla,kwa vitu vya kawaida kama unga sukar mafuta n.k.....kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ni tahadhari gani za kuchukua? kwa anayejua anawwza kunipa breakdown ya hii kitu?