Nataka kufungua duka la jumla

Nataka kufungua duka la jumla

Davis chelsea

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
93
Reaction score
10
Nipo Dar maeneo ya Kimara..nataka kufungua biashara ya duka la jumla,kwa vitu vya kawaida kama unga sukar mafuta n.k.....kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ni tahadhari gani za kuchukua? kwa anayejua anawwza kunipa breakdown ya hii kitu?
 
Back
Top Bottom