Nataka kufungua duka la mchele, naomba ushauri

Mafanikio mema. Ukisumbuliwa kwa namna yeyote ile report mamlaka husika. Wakikuzungusha wasiliana nasi kupitia Meza ya Rais | The President Table tutafikisha moja kwa moja kwa Rais
 
Biashara hiyo ni pasua kichwa niko now kweny biashara na nina mtaji wa m10 na bado unaniangaisha faida siion mpka leo.. mimi kama mimi sikushaurii kufungua store nibora ufungue duka la rejareja maana hapo huwo mchele kama ndo unaanza biashra kwa kuangalia unajua unaenda uuza bei gani unaweza jikadiria unaenda kuuza elfu moja miasita una fika sokoniii ukakataa bei hiyoo unataka 1400 uuze hapo ndo kasheshe inapoanza afu pia imagine huko unakochukua mzigo nimbaliii sana mzgo utatumia siku nying njian utakuwa unauza hakuna kila siku kama utapata wateja wa kuchukua wote kwa pamoja
 
Fuata huuu ushauru📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…