mafiakisiwani
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 833
- 616
Habari zenu waungwana natumai muwazima na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nataka kufungua kampuni ambayo nitakuwa nawatafuta wafanyabiashara wadogo wadogo na kuwa inject misingi yao ili na mimi niweze kujipatia rizki,sasa nilikuwa nataka kujua,je hii kampuni tunaweza kuifungua kama partnership ili baadae tuweze kuuza hisa na kuongeza msingi wa kampuni yetu? na naomba nifahamishwe yote yanayohitajika ili niache kukaa maskani bila mpango.